miembe ya miaka mi tatu na minanasi

miembe ya miaka mi tatu na minanasi

kipusy

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
639
Reaction score
323
Habari wana jf. Nauliza ninaweza pata wapi miembe ile ya muda mfupi? Je ninaweza panda na minanasi pamoja na hiyo miembe kwenye shamba moja? Location ya shamba ni kimanzichana.
 
Kama unahitaji mingi bora uende SUA lkn kama michache sehemu nyingi wanazouza maua huwa inapatikana.
 
Soko la maembe je, liko vip?
 
Back
Top Bottom