kipusy JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 639 Reaction score 323 Jan 1, 2014 #1 Habari wana jf. Nauliza ninaweza pata wapi miembe ile ya muda mfupi? Je ninaweza panda na minanasi pamoja na hiyo miembe kwenye shamba moja? Location ya shamba ni kimanzichana.
Habari wana jf. Nauliza ninaweza pata wapi miembe ile ya muda mfupi? Je ninaweza panda na minanasi pamoja na hiyo miembe kwenye shamba moja? Location ya shamba ni kimanzichana.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 1, 2014 #2 Kama unahitaji mingi bora uende SUA lkn kama michache sehemu nyingi wanazouza maua huwa inapatikana.
kipusy JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 639 Reaction score 323 Jan 1, 2014 Thread starter #3 King Kong III said: Kama unahitaji mingi bora uende SUA lkn kama michache sehemu nyingi wanazouza maua huwa inapatikana. Click to expand... Nahitaji mingi ya kuweza kupanda hakta nne.
King Kong III said: Kama unahitaji mingi bora uende SUA lkn kama michache sehemu nyingi wanazouza maua huwa inapatikana. Click to expand... Nahitaji mingi ya kuweza kupanda hakta nne.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Jan 1, 2014 #4 Miembe miaka mi3? Hiyo ndo dili sasa
Johnny Bravo Senior Member Joined Dec 4, 2013 Posts 107 Reaction score 46 Jan 1, 2014 #5 Sio mitamu kama ile ya miaka 10.
kipusy JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 639 Reaction score 323 Jan 1, 2014 Thread starter #6 Soko la maembe je, liko vip?