heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Ni dhahiri kuwa jina la Diamond
Platnumz linazidi kukua, kutoka
Tanzania hadi Afrika mashariki na sasa
Afrika magharibi baada ya kufanya
collabo na Davido ambayo bado
haijatoka, hii yote inasababisha watu
wanaofuatilia kazi zake na kila
anachokifanya wazidi kuongezeka.
Kupata views nyingi katika mtandao
wa video Youtube kwa msanii
hutegemea vitu kadhaa ikiwa ni
pamoja na ukubwa wa msanii,
umaarufu wake pamoja na uzuri wa
video unaoweza kusababisha watu
wengi waitafute.
Video mpya ya hit single ya sasa ya
Platnumz My Number One ambayo
ilipandishwa Youtube September 2
kupitia Channel ya Diamond Platnumz,
mpaka leo November 6 imetazamwa
mara 971,125 ikiwa ni miezi miwili tu
toka ipandishwe.
Video ya Nataka kulewa iliyowekwa
youtube miezi 11 iliyopita
imetazamwa mara 101,401 na Kesho
iliyowekwa miezi 10 iliyopita
imetazamwa mara 270,901.
Ikumbukwe kuwa Diamond aliamua
kuwekeza pesa nyingi kwaajili ya
kwenda kufanya video ya My Number
One nchini Afrika Kusini, na hakuna
ubishi kuwa uwekezaji wake umezaa
matunda toka siku anaizindua video
hiyo, kwa kumpa michongo
mbalimbali ya kuingiza pesa kupitia
ngoma hiyo.
Platnumz linazidi kukua, kutoka
Tanzania hadi Afrika mashariki na sasa
Afrika magharibi baada ya kufanya
collabo na Davido ambayo bado
haijatoka, hii yote inasababisha watu
wanaofuatilia kazi zake na kila
anachokifanya wazidi kuongezeka.
Kupata views nyingi katika mtandao
wa video Youtube kwa msanii
hutegemea vitu kadhaa ikiwa ni
pamoja na ukubwa wa msanii,
umaarufu wake pamoja na uzuri wa
video unaoweza kusababisha watu
wengi waitafute.
Video mpya ya hit single ya sasa ya
Platnumz My Number One ambayo
ilipandishwa Youtube September 2
kupitia Channel ya Diamond Platnumz,
mpaka leo November 6 imetazamwa
mara 971,125 ikiwa ni miezi miwili tu
toka ipandishwe.
Video ya Nataka kulewa iliyowekwa
youtube miezi 11 iliyopita
imetazamwa mara 101,401 na Kesho
iliyowekwa miezi 10 iliyopita
imetazamwa mara 270,901.
Ikumbukwe kuwa Diamond aliamua
kuwekeza pesa nyingi kwaajili ya
kwenda kufanya video ya My Number
One nchini Afrika Kusini, na hakuna
ubishi kuwa uwekezaji wake umezaa
matunda toka siku anaizindua video
hiyo, kwa kumpa michongo
mbalimbali ya kuingiza pesa kupitia
ngoma hiyo.