Miezi 10 sasa Jamii forum

Miezi 10 sasa Jamii forum

thandiwe

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
163
Reaction score
164
Habari ya jumapili wapendwa.
Ni miezi 10 sasa toka nijiunge hapa,kiukweli ninamengi nimejifunza,na bado naendelea kujifunza, ahsante marafiki niliowapata hapa,wakike pia hata wa kiume.
Wengi umekuwa washauri pale ninapopata changamoto mbalimbali na hamkunitupa,nawapenda wote😘😘
 
Back
Top Bottom