Miezi 2 kitanda kimoja; hakuna kiss, hakuna touch, hakuna hata kunong'onezana?


Chepuka mama thats the solution
 
Muanze wewe, simamisha gari ikisimama panda..... Au napo hataki
 
Kiujumla hizi ndoa zina changamoto kweli mm kila siku naambiwa mgongo unauma mara sijui mguu ilimradi nisile mzigo hapa nilipo nishaambiwa kichwa kinamuuma nashukuru JF inanisaidia sana mpaka napitiwa na usingizi
 
Na siku akifunguka akakuweka mtu kati uvumilie hicho kichapo,utagegedwa mfululizo,utaingia uvunguni lakini wapi!
 
Jitahidi usafi na uwe unabadilika katika kujiremba, labda babu anaweza stuka kwako.
 
😊
 
Labda amejikuta ana tatizo anaogopa kukuambukiza, ya mwanadam ni mengi, pole sana
 
Kuna baadhi ya vitu vinaweza kukusosesha hamu na mke au mpenzi wako, wanawake wengi wakishakuolewa na kuzaa Huwa wanaacha kujijali , unakuta mwanamke ni nchafu, au ameachia mwili mpaka mvuto unapotea, lugha isio na staha , haya mambo yanaondoa sana mzuka,
Mwanaume kama akikosa hela katika umri huo wa 40 na nguvu za kiume zinapotea kabisa,
Ushauri:
Ongea nae Kwa upendo, mweleze kwamba hauridhiki na hiyo Hali na muombe haki Yako ya unyumba , hata akiwa kazini mtumie UJUMBE MZURI wa kimahaba , mpe lishe nzuri awe na afya Ili kama nguvu zimepungua basi zirudi,
Jiweke safi, pendeza vaa nguo za kimitego sio unakaa kizembe, halafu chunguza kama ana michepuko huko nje maana Kwa kawaida mwanaume kukaa MIEZI 2 bila tendo sio RAHISI kama hakuna sababu aidha ya ugonjwa au umbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…