Miezi 4 bila Hayati Magufuli: Kwanini Magufuli aliweza kuijenga nchi bila tozo ya mshikamano?

Magufuli si alikuwa anapora watu fedha kwenye akaunti za benk,kupitia DPP Samia na Magufuli wote waporaji.Samia anapora kwa kila mtu kwa kutumia makato ya simu.Magufuli alikuwa anapora matajiri.Wote ni wamoja.
Samia hapori watu. Tozo za miamala zimepitishwa na bunge,zinatizwa kwa mujibu wa sheria.

Hata hivyo,mipango yote ya bajeti hii iliachwa na Magufuli. Bajeti ya Samia itakuwa inayokuja. Hivyo,kama kina zuri,sifa apewe Magu na kama kuna baya lawama apewe Magu pia.
 
Aliibia matajiri hela benki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huyo Mungu wenu alikuwa anafanya maendeleo kwa kuweka misingi ya kweli

Tusingeona madhara ya kutokuwepo kwake ndani ya miezi, maana yale aliyoanzisha yangejiendesha

Sent from my SM-J710K using JamiiForums mobile app
 
Wewe nyumbu hii bajeti ni ya samia siyo ya magufuli acha uzwazwa msitake kufanya kila baya ni la magufuli tu!
 
Hujasema kweli hata kidogo magufuli alikuwa anawanyanganya pesa matajiri na anakopa kwenye mabenki ya biashara huku akiwadanganya kwamba anatumiya pesa za ndani, yeye na familia yake ndio walikuwa wanakontrol hazina alikuwa haajiri wala hakupandisha mshahara mpaka kaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…