Habari za mida hii,bila shaka mko salama,wengi mmelala na wachache mko macho.
Ili kuwapa moyo,kuwafundisha wengine pia,nimeamua nitoe yaliyonikuta,najua wapo wanaopitia nyakati kama nilizopitia,na wamefanya siri,kwa sababu kusema ni kujishushia heshima,kusema ni kuondoa hadhi ya urijali!
Naomba mambo mawili yafahamike,kabla sjaendelea,moja mimi si mwandishi mzuri kabsa,hivyo msinibeze kutokana na kutofuata taratibu za uandishi,mbili sna kabsa uwezo wala kipaji cha kutunga stori,hivyo nachokileta hapa ni uhalisia wangu, na lengo kubwa kuelimisha na kuwafanya wanaopitia kama niliyopitia kutokukata tamaa,natoa hadithi hii kama USHUHUDA!
Ilikuwa ngumu sana,tena sana kumshirikisha mtu yeyote awaye yule jambo hili, haijalishi niko na uhusiano gani,Kwani niliwaza kuongeza tatizo zaidi.
Mwaka 201x nilikuwa nimetimiza miaka 9 katika mahusiano na binti mmoja hivi,ambaye ni mke wangu kwa sasa!hivyo baada ya kuweka mambo yangu sawa,niliamua kuoa,niliamua kwa sababu kuu mbili,moja ikiwa ni kukaa muda mrefu katika mahusiano na kuona zawadi pekee nnayoweza kumpatia ni ndoa,naam kumuoa niishi nae kama mke wangu,kwani katika kipindi vyote hicho,aliiishi kwao,na mimi niishi kwetu,hadi nilivyoamua kutoka nyumbani.
Sababu ya pili,niljiona nimetiza umri wa kuoa kulingana na malengo niliyojiwekea,hivyo nilifata taratibu zote za kuoa,nilitoa mahali,na hatimae taratibu za ndoa kufuata!
Ilichukua Takrban miezi mitatu,hadi kufunga ndoa baada ya kumtolea mahali,naam hatimae siku ilifika,tulifunga ndoa,na kila kitu kilienda sawa kabsa,pamoja na changamoto zote katika maandalizi ya ndoa,lakn hatimae nilifanikisha.
Kama,ilivyo ada ya tamaduni za kileo,ukifunga ndoa basi utalazimika kutumia walau siku 3 kuwa FUNGATE,/Honemoon hata mimi nilifanya vivyo hivyo,baada ya taratibu zote za sherehe na mambo mengine tuliambatana na mke wangu hadi hotelini kwa ajili ya fungate.
Kilichotokea fungate,ndicho kilichonisukuma mimi kuandika hadithi hii,baada ya kufika hotelin,tulipewa chumba tulichoandaliwa,na tukaingia vema kabsa,huku akili yangu ikiwa na shauku ya kula tunda kihalali,bila kificho,bila woga wala kinga!
Naam,tulikuwa chakula vema kabsa,na hatmae tulielekea bafuni kuoga kwa pamoja,kama ujuavyo,taratibu zote za wanandoa hufuatwa pindi ndoa ikiwa changa,tulivyoenda kuoga,hisia zangu zilikuw juu,mnara ulikuwa unasoma 5G,lakini sikuweza kufanya tendo hili bafuni,kwa sababu hizi...
1.Niliusiwa na mzee wangu,kutokufanya mapenzi bafuni,kwani huko ni kukarbisha mikosi,na kuongeza kusema kuwa hata mimba zinazoingia kwa matokeo ya wazazi kufanyia mapenzi bafuni ama chooni huwa na misukosuko mingi kwa watoto wanaozaliwa.
2.Sikuona sababu ya kufanyia tendo la ndoa kwa mara ya kwanza ya ndoa bafuni,niliona kama anakosea heshima ndoa yangu.
Baada ya kutoka bafuni,tulirudi chumbani,na tulipiga stori mbili tatu huku nikimsifia mke wangu alivyopendeza,na yeye huku akinishukuru kwa kutimiza ahadi yangu ya kumuoa,kwani tulianzia mahusiano yeye akiwa darasa la sita,mimi kidato cha pili,
Note,haukuwa ubakaji,najua mtahoji umri,nilkuwa 15 yrs, na yeye alikuw 12 yrs,hivyo tuliingia katika mahusiano ya ahadi kuwa siku tukifanikiwa kuendelea kuwa pamoja baada ya kuwa wakubwa basi tutaoa,hivyo mda wote huo tulikuw na urafk wenye malengo hayo,urafiki subirishi,urafiki ambao haukuwa na chembe yoyote ya mambo ya ngono,yote hayo yalifanikiwa kwa sababu nilkuwa nasoma shule ya bweni,nilkutana mara mbili tu kwa mwaka,yaani mwezi juni na desemba.
Tuendelee tulipoishia,baada ya muda nilianza kumuandaa,lakini katika kipindi kile chote tulichotoka kuoga,ni kama zile hisia na hamu nae vilipotea,kiufupi,network ilikuwa low,1G ambayo hata text isingeweza kutuma,nililigundua hili,kwani alikuwa amenilalia kifuani,huku ngozi yangu na yake vikiwa vimegusana,lakn network haikuwepo kabsa.
Niljitaidi kuificha hiyo hali,asiitambue,kwa kujaribu kjiuliza maswali na nikitoa majibu kadri nilivyoona inafaaa na baadhi ya maswali niliyojiuliza majibu yake ni haya..
1. Mimi: kwanini network imeshuka ghafla?
Mimi :Labda kuna kitu nimekiwaza katikati ya
Tukio,huenda kimehamisha hisia zangu
Kwa mke wangu,lakin kitu chenyewe ni
ni kipi?mmmmh sijui
2.mimi:Ngoja nijarbu kuvuta hisia za wema,ili
Nivutie network,Iwakie kwenye hia!
Mimi: jibu No network coverage !!![emoji24][emoji24]
Wakuu,niliwaza mengi sana,mengi mno usku ule,niljarbu kumuandaa sana mke wangu,nikiamni network ukapanda baada ya yeye kupanda,lakn lahasha!mtandao wake ulikuwa 5G lakni mimi hakuna kabsa,na ulifkia hatua akapenyeza mkono na kushika mashine,na kukuta imelala,wakuuu ile reaction yake na muonekano wake uliongea mengi[emoji24][emoji24][emoji24]
Niliumia sana,na nilimuona akiongea mengi zaidi kwa ukimya wake,labda kwa sababu ya mawazo yangu na tukio,nilmuwazia akiniwazia mengi zaidi !ikumbukwe...kabla sjamuoa,nilkuwa napiga show vizr kabsa,yaan vizuri kabsa hivyo hii ilikuwa ya mshangao!
TUTAENDELEA.......
Nilihangaika sana lakini sikufanikiwa,mpaka nilivyomuona mke wangu akigeuka na kunipa kisogo,sikupata usingizi,niliingia kuoga,nilipga push up,lakn mmmh bado,haitoshi niliingia hadi kwenye website zisizojulikana,yaan xx website nikaangalia lakn sikupata ahueni!
Ndugu zangu,yasikukute,narudia tena yasikukute kama haya,kwan kati ya mambo yanayoshusha kujiamin kwa mwanaume ni pamoja na sekta hii nyeti,ambayo vijana wengi wanatafuta pesa kwa nguvu ili waje waenjoy katika sekta hili!
Hatmae asubuh ilifika,nilmushawish mwenzangu twende gym tukapashe,lengo langu nikijua kabsa tukiendelea kukaa ndani anahitaj tendo,lkn hisia hizo sina kwa sasa,zimeingiliwa...nilipga sana zoezi,nilibeba sana vyuma,nilirudi chumbani nimechoka sana,nilienda kuoga,awamu hii niljiwahi kuoga pekee yangu,na nilfunga mlango asiingie bafuni,kwani niljua akiingia nitaumia zaidi,kwani angeomba nimsugue mgongoni,na kitendo hicho kingemuamsha hisia,na ningemuumiza sana.
Baada ya kutoka bafuni,hata chai sikunywa, nililala sana,kuanzia saa nne asubh hadi saa kumi na moja jion,niliamka nikamkuta anaangalia movie,na hajala chochote, kwani kwa maelezo yake anasema,aliagiza chai ,lakn aliniamsha sana bila mafanikio na hakuona sababu ya yeye kunywa pekee yake.
Hatmae ilifika usku,naam usku wanandoa tunapaswa kulala,mmmmh usiku kama vita,sikupenda kabsa kwani uliniumiza na sikuwa na namna,lazma Tulale lakin usku huu pia hakikufanyika chochotee...narudia tena network was not available !
TUTAENDELEA......