Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

Too negative bro,hujavuka mto bado una safari ndefu.
Mkuu nimekuelewa sana sentensi yako ya "omba yasikukute" umeirudia mara nyingi sana..!

Nakumbuka mashine iliwahi nigomea kwa demu mmoja mzuri sanaa nadhani ndio demu mzuri kuliko wote niliowahi kuwala! Toto chotara la kiarabu tumepiga romance vizuri kabisa ile nataka kuchomeka mtalimbo network ikakata! Demu kakaa mkao anasubiria "shughuli" mimi huku network searching...! Aisee omba isikukute!

Japo mimi ilikua ni kwa dakika chache tu then baadae nilitulia network ikarudi na mechi ikaendelea, lakini kwa dakika hizo chache hali ilikua mbaya mawazo 100 kidogo. Sasa nawaza wewe usiku kucha.. siku, wiki, mwezi... aisee pole sana ndugu yangu.
 
Mkuu pole na hongera. Ila hujafafanua, Chumvi ilikuwa ya mawe au ya kawaida, na matumizi yake na hayo maji ilikuwa ni vipi?
 
Mkuu pole na hongera. Ila hujafafanua, Chumvi ilikuwa ya mawe au ya kawaida, na matumizi yake na hayo maji ilikuwa ni vipi?
Mkuu,nimefupisha mengi,kwa sababu ndani ya muda mfupi yametokea mengi,lakini chumvi ilikuwa ya mawe,na namna ilivyokuwa inatumika,ilikuwa ikifka saa sita usku,mke wangu anachemsha maji kama glass mbili alafu unaweka chumvi,then akishaepua,anamimina kwenye glass,then tunaweka vifuniko kadhaa vya maji tuliyopewa,then tunakunywa,baada ya hapo ndio maombi

Nb,maji yaliact kama damu ya yesu,kwa mjibu wa yule mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…