Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

Sawa mkuu. Nimeshaona nyuzi kadhaa humu kuhusiana na chumvi ya mawe, nilitaka kupata uthibitisho/ushuhuda.
 
Vipi mpaka sasa huyo mama yupo
 
Pole sana
 
Mkuu pole na hongera. Ila hujafafanua, Chumvi ilikuwa ya mawe au ya kawaida, na matumizi yake na hayo maji ilikuwa ni vipi?
Chumvi ya dhahabu..Maji ya maiti ya Mfalme Solomoni/Selemani na Kucha za mende mjane bila kusahau Machozi ya Samako bikra

Acheni nyeto mtakuja kufa
 
Hahahahaha

Tangazo lako zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…