Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

Hahah sasa huu ndio muda wa kulifanyia kazi 'kighane kyangu', tena inabidi umlipe na upitilize hadi 60 hivi ufike vilele vyote vya mlima Rungwe...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hapo kwenye kumlipa sasal ujue kna team kulipiza na team kushangilia aka team β€˜aaahw’ na β€˜wow’
sasa mi niko kwenye team aawh jeuri ya kulipiza sina
 
Pole, kwanini haukuenda kwa wanadaikolojia pamoja na wataalamu wa magonjwa ya akili? Maana hayo ndo maeneo yao.
 
Sikuwaza kabsa huko,kwan niliamin niko timamu,lakn hisia tu ndio hakuna,ikumbukwe kuna tofauti kubwa kati ya hisia na akili,na havifanyi kazi kwa pamoja.
Mengi ni matatizo ya akili hata usemaje, ukisoma vitabu vya magonjwa ya akili utaona magonjwa hayo ya tendo yapo mengi tu, na kitendo cha kukataa kuwa huna ugonjwa wa akili ndo dalili mojawapo ya kuwa na ugonjwa wa akili (poor insight)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…