Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

Hili somo nziri sana mambo haya yanawapata wanandoa wengi sana wakimaliza tu sherehe wakienda hanimoon wanaume mboo imalegea unaweza sa uchovu lakini ni mapepo mnakuwa mmerishiwa na watu wasiowatakia mema
 
All in All MUNGU ni mweza wa yote sifa na utukufu kwake
 
Ndoa zinasiri nyingi sana, Ninamarafiki zangu wawili wote ni walokore sana na wapo kwenye ndoa nahis ni zaid ya miaka 7 kila mmoja na hawana watoto ata wa nje ya ndoa.
dah sijui mambo Ndio aya aya
 
Mkuu sharti la maji na chumvi hukulieleza kwa kina, tafadhali tufafanulie.
Na pia kwa kuwa umekuwa shuhuda mzuri, si vibaya ukamtaja huyo mwanamama na mahali anapopatikana, kwa sababu si kila mtu atakuona tapeli, wengine watahitaji msaada kutoka kwako.
Maadamu umeamua kutoa ushuhuda basi hakuna budi kueleza yaliyo kamili, natanguliza shukrani.
 
Mungu wa kweli anaishi
 
Mungu ni mwema sana,
Hakika Mungu yupo,unaweza kuchukulia rahisi ushuhuda huu,ila umebeba funzo katika nyakati ngumu tusikate tamaa,
Uvumilivu na uaminifu ni muhimu sana katika maisha.
Mungu hawahi Wala hachelewi hujibu kwa wakati

Pale ambapo akili zetu zinafika mwisho,Mungu anajidhihirisha.


Grory to GOD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…