Sokwe Mjanja
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 576
- 297
Kuwa makini mimba isije ikatunga ndani ya mimba nyingine ikawa ni double click.
Asante sana mamiii, ila nilisikia hiyo kitu husababisha siku ya kujifungua manesi huwa wanaporomosha sana matusi ..eti kisa kwanini ku-do hadi mtoto anachafuka! ni ya kweli hayo au ni myth tu ambazo hutumika kutisha watu wasile raha til last minute?
kaka una bahati wewe mshukuru Mungu wako, wenzako mama akiwa na mimba wiki ya tatu tu ugomvi, hataki hata umsalimie kwa kumshika mkono! Wala usimbanie mama, mpe haki yake.
Kuna mchangiaji anasema mtoto atazaliwa mchafu, how jamani? Ina maana huyo mtoto anakuwa wazi tu huko tumboni ukitupia 'wazungu' watamdondokea kichwani? Anyway sababu mi sijui baioloje ngoja ninyamaze
Kuwa makini mimba isije ikatunga ndani ya mimba nyingine ikawa ni double click.
kaka una bahati wewe mshukuru Mungu wako, wenzako mama akiwa na mimba wiki ya tatu tu ugomvi, hataki hata umsalimie kwa kumshika mkono! Wala usimbanie mama, mpe haki yake.
Kuna mchangiaji anasema mtoto atazaliwa mchafu, how jamani? Ina maana huyo mtoto anakuwa wazi tu huko tumboni ukitupia 'wazungu' watamdondokea kichwani? Anyway sababu mi sijui baioloje ngoja ninyamaze
komaa nae mpaka siku ya uchungu
mkuu una bahati tena ya mtende kuota jangwani. mwenzio sasa hivi ana miezi nane, toka ana miezi minne alikata hamu kabisa na si leo tu hata ujauzito wake wa kwanza. kwa hiyo mwenzenu kwanza napigwa mswaki wa wiki mbili yaani sipati kitu baada ya hapo naanza kutongoza upyaaaa yaani two days nitongoze tena kwa ufundi mkubwa na unyenyekevu wa hali ya juu, mwishooooooooni ndo utasikia ufanye haraka lakini nakupa dk mbili. sasa kinachotokea sio dk mbili tena nikimpandisha mzuka anaomba raundi nyingine ila mkimaliza hapo hatakiiii teena mpaka nimtongoze tena mweeee
wakwangu alipokuwa na miezi miwili tu nikaenda masomoni, nimerudi kajifungua siku mingi, ila mtoto ana masikio, unataka kunambia yale masikio nimesaidiwa??Hujui hiyo miezi ya mwisho mwisho ndiyo wanaweka masikio ya mtoto? Jivunge mwanao aje azaliwe bila masikio sijui utamlalamikia nani.
Hujui hiyo miezi ya mwisho mwisho ndiyo wanaweka masikio ya mtoto? Jivunge mwanao aje azaliwe bila masikio sijui utamlalamikia nani.
maneno tu hayo mkuu..mie nimetoka na wangu juzi muhimbili anatimiza wiki ya 32 nw manesi wamenishauri nimpe ahadi ya ndoa hata kama imebaki dakika 2 za kujifunguaAsante sana mamiii, ila nilisikia hiyo kitu husababisha siku ya kujifungua manesi huwa wanaporomosha sana matusi ..eti kisa kwanini ku-do hadi mtoto anachafuka! ni ya kweli hayo au ni myth tu ambazo hutumika kutisha watu wasile raha til last minute?