Miezi 8 sasa, bado anataka nimpe je kuna madhara?

mpe kitu roho inapenda haina madhara yoyote.
 
Mhhh nyie bandugu, mtakifanya kitoto kitakachozaliwa kiwe kizinzi, shauri yenu!!!!
 
tena zidisha mpe kitu roho inapenda kama ulikuwa unampa 1 mpe 3 ili njia ipanuke mtoto atoke fresh
 
Na mambo fulani mpaka siku ya mwisho... hata akitaka mda mfupi kabla we mpe maana inasaidia zile naniii kulainisha mlango na ukafunguka na kumfanya apate haraka... kila lakheri kaka mpe mupe usimuruke...
 
Miezi mi 8 na zaidi mtoto anakuwa mkubwa na anaona so kama vipi mpe ila jua kabisa MTOTO ANAKUCHUNGULIA NA UNAMTISHA NA KUMPA MASWALI MENGI mojawapo ni "duu kumbe huko Dunian kuna kambare wakubwa kama anaekujaga jiran ya placenta yangu" tehe tehe tehe kind of joke jaman...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…