Miezi mi-3 tu nakukinai, What is the problem??!!!!

angalia kasi yako, hao wote kama unapiga kavu basi ujue yule ulieachana nae kwanza alikuwa na askari polisi anaitwa James, yeye James alikuwa na mdada mwingine anaitwa Mary, huyu Mary namfahamu alikuwa na Jacob wakati fulani, Jacob ndie Boy friend wake Asha yule uliemwacha miaka minne iliopita, nae alikuwa na John pia, John aliwahi kutembea na yule ulimwacha miaka mitatu iliyopita, nae aliwahi kutembea Hamis, ambae hawakukaa muda mrefu sana, huyu Hamisi alikufa lakini aliacha Girl friend anaitwa Tatu, huyu tatu alikuwa na mahusiano na Ismail ambae aliwahi kutembea na huyo unaesema uliachana nae mwaka jana. na huyo ulienae sasa anatembea na yule Prof JJ anaeishi Makongo Juu ambae anatumika pia na kimada Barmaid pale Kijitonyama na Mwanafunzi wa SAUT ....TULIZANA!!!
 
spirit of lust...thats what you have...na siyo hiyo tu jiangalie hata area zingine za maisha yako..am sure ur not successful...think abt it. you need deliverence
 
jamani wengne hatujui hiyo law ya diminishng margnal utility nijuzen tafadhal
When utility/satisfication is at maximum,
Any additional consumption will result into a lower utility than previous!!

Sasa kwa hapa ni kua Kama Siku zinavyokwenda upendo wangu kwake Na mvuto wake kwangu unazidi kupungua, basi mapenzi yamefikia maximum/mwisho
 
i think ur not over ur ex...unatafuta m2 mwingine kama yeye kwa kuwacompare hao wasichana na huyo ex wako,dats y unawakinai afta kujua zea nt like ha,...mi nachokushauri ni kutoa hicho k2 akilini mwako,ts ova btn u and her (ur ex),move on...co rahc bt try ku tune akili yako ,anza upya zen am sure utapata msichana mwingine beta n different 4rm her.....n 4 da mean tyme ucdate tena 4 a while until uwe ready...
 
Kwahiyo unataka kudanganya watu kuwa kwa tabia kama za huyo mwenzio unaweza kukaa mwaka mmoja bila sex? Au kuwa single maana yake ni nini? Au ni kutokuwa na mwanamke maalum isipokuwa kila siku unachapachapa tu yeyote utakayemkamata?

tatizo langu ilikuwa kukaa kwenye relationship and not the other way around..kwa hiyo ninaweza kuwa single kwa muda mrefu bila tatizo tena.
 

chukua hyo braza kaka,,otherwise unahitaj maombi
 
You need to see experts asap


Wala hahitaji expert we are experts, ndio maana amekuja hapa jamvini, kwa hali aliyonayo ninamshauri endelea hivyo hivyo hadi atakapokutana tena na kanuni ya "diminishing marginal utility" ila chonde chonde atumie kinga si kwa sababu atapata magonjwa bali asijewapa watu mimba halafu akaanza deal za kuua u kuongezea watoto wa mitaani, thanks...
 

..How I wish I could like this piece of advice....too bad am on a mobile.
 
Tatizo lako hupendi ila unatamani, ukishatimiza haja zako za mwili huna haja na huyo mwanamke tena, na wasichana wameshakujua tabia yaako sasa wanakutumia kama ATM nao wakifikiri baadaye utawaoa kabisa kume lol.
Ukituliza akili utampata wa dhati toka moyoni mpaka utajishangaa.
 
Dawa yake. Jipake shahawa zako usoni halafu, ukoge mara mbili.
 
Thanks a lot wadau,
Seems to me like all women are absolutely the same,
Now I know what to do, let me concetrate on making money, and 4gt about these chicks.

If I could utilize my time effectively on other business, I could be far away. One of these ex-chicks went away with Vitz while I paid a house Rent of 2.4mil for another.

Wacha nibaki mpweke tu,
Sioi Leo, Sioi kesho, wala mtondogoo
 
Kijana hilo ni pepo la ngono na jini mahaba linakusumbua pia. Tubu uanze upya laasivyo utajikuta umejaa mvi na huna mke. Sala zitakusaidia sana, uache tabia ya kujiona umeshindwa, still u can, hujachelewa, chukua hatua kungali mapema!!
 
tatizo lako haluhusiani na hao wadada...

tatizo lako linahusu wewe mwenyewe na ndoto zako za maisha

ukifika wakati utajikuta tu comfortable ku settle.....na yeyote available utatulia nae..

wewe una issues zako binafsi....zinakuhangaisha...


Genius!
 


Uamini uchawi, unaishi mbinguni? Rais wako tu anaroga pamoja na wabunge na viongozi wote serikalini, acha kutuzuga hapa. Usiporoga wewe juwa wenzako watakumaliza, shauri lako.
 
Uamini uchawi, unaishi mbinguni? Rais wako tu anaroga pamoja na wabunge na viongozi wote serikalini, acha kutuzuga hapa. Usiporoga wewe juwa wenzako watakumaliza, shauri lako.

Sasa nifanyaje mkuu? nishauri pia, usiishie kunilaumu tu.
Nimekata shauri niachane nao kwanza ili nishughulikie mambo mengine ya Kimaisha although umri unakwenda but no way.

After 2-3 years nitaangalia kama huu mpango umelipa!!
 
Ningekushauri ufikirie nini unataka kwenye maisha yako.Namara zote usifikirie wanawake tu ndio wanye tatizohata wewe mwenyewe waweza kuwa tatizo.
Labda ungeeleza kwa nini uliachana na msichana wako wa kwanza jumuia inaweza kukusaidia ,mengineyo funga moyo kaombe radhi umrudie wa zamani.:eek2:
 
Sasa nifanyaje mkuu? nishauri pia, usiishie kunilaumu tu.
Nimekata shauri niachane nao kwanza ili nishughulikie mambo mengine ya Kimaisha although umri unakwenda but no way.

After 2-3 years nitaangalia kama huu mpango umelipa!!


Subiri nijipange vizuri ndipo nitarudi kukujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…