KERO Miezi saba sasa, walimu wapya Mpwapwa hatujalipwa pesa ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

OfficialDavid

Member
Joined
Aug 9, 2023
Posts
24
Reaction score
19
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi na muda mwingine kutoa vitisho.

Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
 
Kuwa mvumilivu mwalimu
 
Mambo yao waachie wenyewe japo ni magumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…