Miezi sita watu wanapambana na kivuli cha Diamond, sasa kakirudia kiti chake inabidi wawe wapole

Unafiki ni sawa na UMALAYA wakati ALI anakaa mwaka mzima kila anapoachia kazi nisema maisha hana mjipya mawezi na kila kitu CHAI JABA miezi 6 tu oooh jamaa wamekishindwa kivuli sheeenzi.
 
Hapo yupo studio na kina Swizz beatz, spliffstar, Busta n.k.
 
Diamond sio binadamu wa kwanza duniani ambaye amefanikiwa bila ya elimu kubwa.

Acheni porojo leteni kazi nzuri..hii kamata ni upuuzi.
Huna ujualo kaa kimya
 
Unafiki ni sawa na UMALAYA wakati ALI anakaa mwaka mzima kila anapoachia kazi nisema maisha hana mjipya mawezi na kila kitu CHAI JABA miezi 6 tu oooh jamaa wamekishindwa kivuli sheeenzi.
We Fala nini hebu kaa vizur , relax .....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…