Mifano ya nchi ambazo ziliathirika na vurugu za maandamano

Mungu kama yupo aniepusha na kabali ya namna hii,huu ni ugaidi kabisa
Hawa jamaa wanajifunza kwetu tunavyoweza kuwapa mawazo.Ndio maana unashangaa kila uzi utagusa ukweli wanafanya ili waoneshe wao.
wajibuni kwa ushenzi
 
US kila siku ni maandamano... Lakini ndio imeendelea kiuchumi zaidi..

Mafisadi na wauaji lazima tuwakatae Tanganyika, iwe kwa njia ya vita, maandamano na hata kuviziana...
 
Mifano ipo wazi wenzetu waliotumia njia za maandamano na madhila waliyokutana nayo,

Je hatuna ya kujifunza hapo ndugu zangu watanzania?
Naona unajijibu kwa id yako ya HAYA LAND HOV na baada ya hapo, utatumia id hiyo kuanziasha mada nyingine ya kuuzia watu uoga na busara za kipuuzi. Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah naona mnafunikwa na huyu tiss mchovu.
 
Gentleman,
ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya huyo muungwana kuliko kujaribu kuharibu mjadala kwa porojo useless kabisa
 
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Kenya hapo wanakuwaga kwenye maandamano kila mara, ila hata wakiwa kwenye maandamano bado uchumi wao huwa uko juu kuliko wetu sisi maiti hai. Huu uoga kawauzie wazee na mapeasant huko vijijini.
 
Sio kwa njia ya vurugu na fujo, maandamano ya 29 Oct hayakuwa kwa ajili ya kueleza kero za wananchi bali ni kupindua serikali

Je watu wa namna hii unawachukuliaje
Basi tarehe 25 tutaandamana kuelezea hayo madai yetu kwa amani.
 
Wewe ni zoba ,Ina maana wewe Una akili Sana kuliko hap wabanchi wanaopinga madhalimu na wauaji kutawala nchi zao , unajua unyama wa Omar Albashir wewe , Hozni Mubarak , Maduro , Assad na washenzi wengine mithili iyo ? , yaani hue raia na kuwakandakiza wakae wavumilie huo useng€ ..........Wewe ni mpumbavu
 
Kwa uchumi gani taka taka wa hili shit hole country linalonuka ufukara ? , Kama maandamano yanaua uchumi basi Tanzania ingekuwa na uchumi mkubwa kuliko Kenya East Africa hii ,Maa na Kenya maandamano ni kila Mara na ni haki ya RAIA walla sio ombi
 
Nilikuwa nakuona miongoni mwa members wenye kuyaishi ya Mungu kuendana na imani yako na mwenye ustaarabu ndani ya jf kumbe nawe ubwabwa unakufanya uingiwe na ushetani. Endelea kuupalilia uongo ipo siku labda utakuwa ukweli ndani yako.
Ninapo zungumzia kuwepo kwa amani siyaishi ya Mungu?

Ninapotahadharisha vijana kutotumiwa kwenye maandamano ambayo yanapoteza uhai wao je siyaishi ya Mungu?

Mungu anasema usijiue,kwenda kwenye maandamano na kuuwawa ni kama umejiua kwakuwa ulijua hatar ya kuandamana

Unapokunywa pombe au kuvuta sigara u unajiua kwakuwa madhara yake yanajulikana

Haya katika hayo kipi nimeenda kinyume na mafundisho ya dini yangu na Mungu

Kabla hujaropoka think big
 
Dawa yenu ni kuwa Paralyses kwa njia yoyote mpaka mshindwe kuiendesha serikali, ndio mtajuwa kuwaheshimu raia..tutafika tu kwa Idhini ya Allah, watu wanashangilia kifo chako na bado unalazimisha uwe raisi wao amakweli sikio la kufa.
Unafikiri likitokea hilo la kuidhoofisha Serikali nawe utakuwa salama?

Vijana mnatumia nini kutafakari? Hivi hujui ikifikia hali hiyo nchi iatabidi ionngeze wigo wa kodi,je hapo hujaumia?

Nchi ikishindwa kuhudumia huduma zA jamii,je wewe hutaathirika?

Mnadhani ni viongozi wa serikali ndio wanakomolewa,jua sisi wananchi wa hali chini ndio tutaumia

Think big
 
Mwaka jana ulikuwa timamu. Nafikiri siku hizi umekuwa CCM au shoga
Nilikuwa timamu kwakuwa nilionngea yale unayoyapenda
Kwakuwa sasa naongea ambayo hamyapendi kuyasikia nakuwa sio timamu na nimekuwa shoga

Tulieni dawa iwaiingie vizur
 
Mwaka jana ulikuwa timamu. Nafikiri siku hizi umekuwa CCM au shoga
Nilikuwa timamu kwakuwa nilionngea yale unayoyapenda
Kwakuwa sasa naongea ambayo hamyapendi kuyasikia nakuwa sio timamu na nimekuwa shoga

Tulieni dawa iwaiingie v
Mada za mtu ambaye ameshanunuliwa na kina Abdul zinajipambanua,amani ndio ushuzi gani?,ushuzi wa madelu mkumbo?
Kwakuwa nyie mnanunuliwa kuwapush vijana waandamane basi unafikiri kila mtu ananunuliwa

Sina price tag
 
Mnatumia nguvu sana kuwajibu hawa wanatafuna mirungi na kuruka makachu huko na wengine wapo wanalewa pombe.wajibu kipuuzi maana ni UVCCM na abdul mkuu wao.
Kwa akili hizi ndio mnataka kuleta mabadiliko hapa nchini
 
Hawa jamaa wanajifunza kwetu tunavyoweza kuwapa mawazo.Ndio maana unashangaa kila uzi utagusa ukweli wanafanya ili waoneshe wao.
wajibuni kwa ushenzi
Dawa itawaingia tu
 
Hawa jamaa wanajifunza kwetu tunavyoweza kuwapa mawazo.Ndio maana unashangaa kila uzi utagusa ukweli wanafanya ili waoneshe wao.
wajibuni kwa ushenzi
Dawa itawaingia
US kila siku ni maandamano... Lakini ndio imeendelea kiuchumi zaidi..

Mafisadi na wauaji lazima tuwakatae Tanganyika, iwe kwa njia ya vita, maandamano na hata kuviziana...
Wenzenu wanaandama kwa ustaarabu na wanafuata taratibu,hawaleti fujo wala vurugu

Wamebeba mabango yao na wanakwenda sehemu waliyokusudia kufika

Hapa bongo hamuwezi hilo kabisa coz wengine wanafuata mkumbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…