Ama kweli tuna kizazi cha hovyo. Yaani mnamua Samia kwenye mtandao, na mnashereheke kwenye mtandao wakati yeye yuko hai!!Dawa yenu ni kuwa Paralyses kwa njia yoyote mpaka mshindwe kuiendesha serikali, ndio mtajuwa kuwaheshimu raia..tutafika tu kwa Idhini ya Allah, watu wanashangilia kifo chako na bado unalazimisha uwe raisi wao amakweli sikio la kufa.
Mkishindwa hoja kabisa mnakuja na ujinga mwingi sana,sina I'd nyingine zaidi ya hii, naapa wallah kwa Mola wanguNaona unajijibu kwa id yako ya HAYA LAND HOV na baada ya hapo, utatumia id hiyo kuanziasha mada nyingine ya kuuzia watu uoga na busara za kipuuzi. Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah naona mnafunikwa na huyu tiss mchovu.
USA wanaandamana kila siku, lakini hawavunji wala kuiba mali ya mtu. Hiyo ndiyo tofauti na hooligans wa Tanzania. USA wana akili kichwani, wakati Tanzania ni mabwege tu yanataka kuiba na kuharibu mali za watuUS kila siku ni maandamano... Lakini ndio imeendelea kiuchumi zaidi..
Mafisadi na wauaji lazima tuwakatae Tanganyika, iwe kwa njia ya vita, maandamano na hata kuviziana...
Nimeipenda hii GentlemanGentleman,
ni vizuri ukajikita kwenye hoja ya huyo muungwana kuliko kujaribu kuharibu mjadala kwa porojo useless kabisa
Ukiona mtu anatukana na kukasirika ujue dawa imemuingia vizuriWewe ni zoba ,Ina maana wewe Una akili Sana kuliko hap wabanchi wanaopinga madhalimu na wauaji kutawala nchi zao , unajua unyama wa Omar Albashir wewe , Hozni Mubarak , Maduro , Assad na washenzi wengine mithili iyo ? , yaani hue raia na kuwakandakiza wakae wavumilie huo useng€ ..........Wewe ni mpumbavu
Hayo ni maoni yako,tupo kupigania amaniChawa mnatumika hovyo na watawala kuhubiri amani fake kusudi wao wazidi kuitafuna nchi bila usumbufu!
Hawana kitu hawa ndio maana wanaendeeshwa endeshwa tuAma kweli tuna kizazi cha hovyo. Yaani mnamua Samia kwenye mtandao, na mnashereheke kwenye mtandao wakati yeye yuko hai!!
Kwa akili hizi, wacha CCM itawale milele
Wape za uso wataelewa tuUSA wanaandamana kila siku, lakini hawavunji wala kuiba mali ya mtu. Hiyo ndiyo tofauti na hooligans wa Tanzania. USA wana akili kichwani, wakati Tanzania ni mabwege tu yanataka kuiba na kuharibu mali za watu
Huu uzi hapa umetoa mifano mingapi?Wanafiki wakubwa wamekaririshana mifano ya kijinga, kila muuaji anaruka nayo!
Mbona humuongelei maandamano ya wananchi yaliyozitoa madarakani serikali za misri, Tunisia, na juzi Madagascar na Bulgaria?!
Kwa nini ni kila mkitoa mifano ni Libya tu?!
Duuu, hoja ulizoleta hapa tayari umeshazipa ushindi? Ni hivi, hii id yako na hiyo nyingine zinafanya kazi moja, probably mko sehemu moja mkiwa na malengo maalum, ndio maana zinajibizana katika mtazamo sawa na muda ule ule.Mkishindwa hoja kabisa mnakuja na ujinga mwingi sana,sina I'd nyingine zaidi ya hii, naapa wallah kwa Mola wangu
Na sitakuja kuja kuwa na I'd nyingine as long as nipo hai,hata X nina I'd kwa jina hili na avar hii
Think big
Mtatolea mifano lini maandamano ambayo yamewatoa madhalimu na serikali za hovyo madarakani?Huu uzi hapa umetoa mifano mingapi?
Umesoma au umekurupuka tu kama mnavyokurupuka kuandamana
Amka usije kojoa kitandani,kumekucha tayariAmani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Uongo mbona huugusii, hayo yote uliyoyaeleza ni uongo mtupu. Kwanini unashindwa kusimamia haki na ukweli.Ninapo zungumzia kuwepo kwa amani siyaishi ya Mungu?
Ninapotahadharisha vijana kutotumiwa kwenye maandamano ambayo yanapoteza uhai wao je siyaishi ya Mungu?
Mungu anasema usijiue,kwenda kwenye maandamano na kuuwawa ni kama umejiua kwakuwa ulijua hatar ya kuandamana
Unapokunywa pombe au kuvuta sigara u unajiua kwakuwa madhara yake yanajulikana
Haya katika hayo kipi nimeenda kinyume na mafundisho ya dini yangu na Mungu
Kabla hujaropoka think big
Marekani mbona hujaiweka?
My people,
Machafuko ya Maandamano na Athari Zake: Mifano ya Nchi Tofauti Duniani
Maandamano ni njia mojawapo ya wananchi kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Hata hivyo, pale maandamano yanapokosa mwelekeo wa amani, yanaweza kubadilika na kuwa machafuko yenye madhara makubwa kwa jamii, uchumi na uthabiti wa taifa. Historia ya dunia inaonesha mifano kadhaa ya nchi zilizopitia hali hii, na mafunzo yake ni muhimu kwa kizazi cha sasa na kijacho.
1. Libya (2011)
Libya ni mfano maarufu wa jinsi maandamano yanaweza kugeuka janga la muda mrefu. Maandamano yaliyoanza kama wito wa mabadiliko ya kisiasa yaligeuka kuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Matokeo yake yalikuwa kuporomoka kwa serikali, kuvunjika kwa taasisi za dola, vifo vya raia wengi na nchi kuingia kwenye mzunguko wa machafuko ambao bado unaendelea hadi leo. Taifa lilipoteza amani, usalama na umoja wake wa kitaifa.
2. Syria (2011)
Nchini Syria, maandamano ya awali yalilenga mageuzi ya kisiasa na kijamii. Lakini hali ilipozidi kuwa ya vurugu, maandamano yalibadilika na kuwa vita kali vya ndani. Mamilioni ya wananchi walikimbia makazi yao, miundombinu ikaharibiwa, na taifa likawa uwanja wa migogoro ya kimataifa. Maandamano yasiyodhibitiwa yaliiacha Syria katika maumivu makubwa ya kibinadamu.
3. Misri (2011)
Misri ilishuhudia maandamano makubwa yaliyopelekea kuondoka kwa rais aliyekuwa madarakani kwa muda mrefu. Ingawa awali yalionekana kama ushindi wa sauti ya wananchi, baadaye taifa lilikumbwa na misukosuko ya kisiasa, maandamano ya mara kwa mara na hali ya kutokuwepo kwa utulivu kwa muda. Uchumi na maisha ya kawaida ya raia yaliathirika pakubwa.
4. Sudan (2019)
Sudan pia ilipitia maandamano makubwa yaliyosababishwa na hali ngumu ya maisha. Maandamano haya yalipelekea kuanguka kwa utawala wa muda mrefu, lakini baada ya hapo nchi ikaingia katika kipindi cha sintofahamu ya kisiasa, migawanyiko na mapigano ya ndani. Badala ya suluhu ya haraka, taifa liliingia katika awamu mpya ya changamoto.
5. Venezuela (2014–2019)
Nchini Venezuela, maandamano ya mara kwa mara yalichangiwa na mdororo wa uchumi, uhaba wa bidhaa na migogoro ya kisiasa. Machafuko yalileta vifo, uharibifu wa mali na kuyumba zaidi kwa uchumi. Raia wengi walikimbia nchi hiyo kutafuta maisha bora kwingineko.
Mafunzo Muhimu
Mifano hii inaonesha kuwa:
Maandamano yasipokuwa na mipaka ya amani yanaweza kuharibu zaidi kuliko kujenga.
Machafuko huathiri zaidi wananchi wa kawaida kuliko viongozi.
Amani, mazungumzo na suluhu za busara ni nguzo muhimu katika kushughulikia tofauti za kijamii na kisiasa.
Hitimisho
Ingawa maandamano ni haki ya kimsingi katika jamii nyingi, historia inatufundisha kuwa njia ya amani na mazungumzo inalinda zaidi maisha, mali na mustakabali wa taifa. Nchi zilizotajwa ni kioo kinachoonesha hatari ya kuruhusu hasira za muda mfupi kugeuka moto unaoteketeza misingi ya taifa zima. Amani si udhaifu, bali ni hekima inayojenga vizazi.
Ni hayo tu!
Bro hivi unajisikiliza hata unachoongea lakini?Uongo mbona huugusii, hayo yote uliyoyaeleza ni uongo mtupu. Kwanini unashindwa kusimamia haki na ukweli.
Nipe mfano wa maandamano ambayo yalileta machafuko marekaniMarekani mbona hujaiweka?
Wakati watu weusi wanadai haki zaoNipe mfano wa maandamano ambayo yalileta machafuko marekani
Hivi kumbe wananchi kutekwa wameanza kipindi cha serikali ya Samia? Nilikuwa sijuiWananchi wanatekwa hakuna anaewasemea hata wabunge wao kikatiba kupitia bunge je ulitaka wakae kimya ?