Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula.
Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na inavyoonekana ni mifereji ya kupitishia maji imejaa uchafu na kusabisha kutokea kwa harufu hiyo.
Mamlaka husika ichukue hatua za haraka kusafisha mitaro hiyo ili kuepuka magonjwa ya mlipuko inayoweza kutokea kama kipindupindu.