M Mtu Poa 2013 Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 105 Reaction score 65 Mar 29, 2013 #1 Habari Kwa anayejua wapi naweza nunua mifuko tupu ile ya viroba aka sulphate kwa jili ya kufungashia bidhaa zangu, anipe mawasiliano.
Habari Kwa anayejua wapi naweza nunua mifuko tupu ile ya viroba aka sulphate kwa jili ya kufungashia bidhaa zangu, anipe mawasiliano.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 4,632 Reaction score 1,773 Apr 8, 2013 #2 Mtu Poa 2013 said: Habari Kwa anayejua wapi naweza nunua mifuko tupu ile ya viroba aka sulphate kwa jili ya kufungashia bidhaa zangu, anipe mawasiliano. Click to expand... Mipya au iliyotumika, yenye ukubwa kiasi gani?
Mtu Poa 2013 said: Habari Kwa anayejua wapi naweza nunua mifuko tupu ile ya viroba aka sulphate kwa jili ya kufungashia bidhaa zangu, anipe mawasiliano. Click to expand... Mipya au iliyotumika, yenye ukubwa kiasi gani?
M Mtu Poa 2013 Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 105 Reaction score 65 Apr 8, 2013 Thread starter #3 Kyenju said: Mipya au iliyotumika, yenye ukubwa kiasi gani? Click to expand... Nataaka mipya kwa ajili ya kufungia bidhaa zangu za chakula na kuuza
Kyenju said: Mipya au iliyotumika, yenye ukubwa kiasi gani? Click to expand... Nataaka mipya kwa ajili ya kufungia bidhaa zangu za chakula na kuuza
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 4,632 Reaction score 1,773 Apr 8, 2013 #4 Mtu Poa 2013 said: Nataaka mipya kwa ajili ya kufungia bidhaa zangu za chakula na kuuza Click to expand... Unaishi mkoa gani
Mtu Poa 2013 said: Nataaka mipya kwa ajili ya kufungia bidhaa zangu za chakula na kuuza Click to expand... Unaishi mkoa gani