Mifuko ya akiba za wafanyakazi zafulia

Mifuko ya akiba za wafanyakazi zafulia

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Mifuko ya akiba ya wafanyakazi za LAPF na PPF zimeishiwa pesa za kuwalipa wastaafu, na sasa kuna habari kuwa bakuli linatembeza na Mkullo serikalini kuokoa jahazi.
 
soma thread LADF,PSPF wamefuliaje! we husomi other threads baba/mama?
 
This is duplication of threads. Mods muvuzisheni hii thread kwenda kwenye nyenzake ya awali.
 
Back
Top Bottom