Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Oct 19, 2009 #1 Mifuko ya akiba ya wafanyakazi za LAPF na PPF zimeishiwa pesa za kuwalipa wastaafu, na sasa kuna habari kuwa bakuli linatembeza na Mkullo serikalini kuokoa jahazi.
Mifuko ya akiba ya wafanyakazi za LAPF na PPF zimeishiwa pesa za kuwalipa wastaafu, na sasa kuna habari kuwa bakuli linatembeza na Mkullo serikalini kuokoa jahazi.
RealTz77 JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 738 Reaction score 41 Oct 19, 2009 #2 soma thread LADF,PSPF wamefuliaje! we husomi other threads baba/mama?
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 456 Oct 19, 2009 #3 This is duplication of threads. Mods muvuzisheni hii thread kwenda kwenye nyenzake ya awali.