Tetesi: Mifuko ya hifadhi ya jamii kwa Watumishi kubakizwa miwili

ila ni njia ya ku create emplyment mkuu tuangalie wana familia
Kwa taarifa zisizo rasmi ni kuwa Watakao kosa kazi kwenye hiyo Mifuko watapelekwa kwenye Halmashauri zenye Uhaba.,
Swali ni je , Watakwenda na Mishahara yao?
 
Serikal katika hili wasikwepe kiini cha tatizo kwa sababu mifuko imekuwa na hali mbali pspf kwa mfano wanaidai serikali zaid ya Trillion na kitu bado mifuko mingine madeni yote .hayajalipwa had Leo , ishu sio ufanisi tu ishu ni kuwa wataua ajira za watu hasa walio wapya na kuleta migogoro tu . serikali waache kukimbia tatizo
 
Ktk hili hasara ni nyingi kuliko faida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…