habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...
Msada naomba mnipe mwongozo nn nfanye ili niwe nachangia asilimia 5 kama watumishi wenzangu kwenye mifuko mingne na mkurugenzi achangie asilimia 15...