Mifuko ya Hifadhi ya jamii

Mifuko ya Hifadhi ya jamii

macedonea

New Member
Joined
Jul 31, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Habari wanajamiiForums, rejea na kichwa habari hapo juu

Naomba kwa pamoja tuwekane sawa kwenye haya masuala ya mifuko yahidhi ya jamii, maana mimi ni mhanga wa kutaka kujuzwa zaidi ya hapa ninapo elewa,

Kufuatia taarifa ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii, tarehe 14 Nov 2018.kupitia vyombo vya habari vya IPP. ilieleza mabadiliko kwenye masuala mbalimbali ya mifuko ya hifadhi ya jamii,
ikiwa ni pamoja na maelekezo ya ukomo wa pensheni, YAANI MSTAAFU AKIFARIKI PENSHENI YAKE INAKOMA HAPO NA WARITHI WA MAREHEMU WATALIPWA MKUPUO WA PENSHENI KWA MIEZI 36 na hapo warithi/wafiwa watakua wamemalizana na mfuko husika wa hifadhi ya jamii, TAARIFA HII APA. Pensheni mpya mpaka kaburini

Aidha maelekezo kama hayo yametolewa na miongozo kadhaa ya mifuko ya hifadhi ya jamii ikiwemo huu apa dodoso la PSSSF.http://www.simiyurrh.go.tz/storage/app/uploads/public/5dd/079/167/5dd079167e771242697204.pdf UKURASA NAMBA 40 UKIZUNGUMZIAUKOMO WA PENSHENI.

Sasa basi nilipoenda kujaribu kuulizia pamoja na kufuatiliaili suala kwenye offisi za psssf niliambiwa kwamba hakuna kitu kama hicho, yaani hakuna malipo yoyote, basi nikajaribu kuwasiliana na mamfuko mwingine wa jamii kujua wao wanafanyaje pale ambapo mstaafu akifariki??

Hakika kwa ukarimu wa hali ya juu na walinielekezakwamba wao wanatoa malipo ya miezi 36 kwa warithi wa marehemu aliye fariki,

Sasa, nashindwa kujua kama hawawatu wa PSSSF ni kwanini hawatoi hio huduma ikiwa muongozo wao wenyewe inaonyesha wanatoaiyo huduma? na je yalemaelekezo ya mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi ya jamii sii tuelewe nini kwakweli?

Naomba jamani tusaidiane kuelishana kidogo hapa na kama kuna namna ya kufuatilia haki zetu mtujuze pia.
naambatanisha na dodoso la PSSSF pitia ukurasa wa 39,40 au zaidi kwa faida yako.

Asante


KDKDDJJD
 
Back
Top Bottom