Mifuko ya Jamii PSPF,PPF,GEPF na LAPF IPI NZURI

jamani wanajavini naomba kujua ni mfuko gani kati ya hiyo ni mzuri mwenye uzoefu katika hili please

acha kutuumiza roho maana tunaishia kufanya intavyuu KWENE HIYO MIFUKO maendeleo yake hatujui LAKINI kumbe watu teyari wameshapangwa
 
Mizuri kivipi mkuu hebu funguka zaid kidogo
 
uzuri kwenye nini? rangi ya logo! moto wa mfuko? funguka ujibiwe
 
PPF wanaleta haraka mafao ya mwanachama baada ya kuacha kazi.
 
Kwasababu hii ni thread ya employment and tender opportunities nilifikiri mdau anauliza mfuko wenye maslahi mazuri zaidi kwa mwajiriwa wa mfuko husika, anyway mawazo gongana....
 
mifuko ambayo inatoa pension nzuri hadi sasa ni PSPF na LAPF lakini pspf ni kwa watumishi wa serikali kuu tu tena wenye vyeo vya kuanzia officer pamoja na walimu wote. LAPF walikuwa wanadili na watumishi wa halmashauri lakini kwa sasa wamebadilika wanachukua mtumishi kutoka sekta yeyote. Kama umeajiriwa na serikali kuu unaweza kuchagua kwenda PSPF au LAPF kama hujaajiriwa Serikali kuu tena kwa cheo cha officer na sio mwalimu huwezi kuopt kwenda PSPF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…