Godfrey Tulu
New Member
- Mar 24, 2016
- 4
- 7
Hii kali ha ha ha. Hebu weka picha yake niione ilitokaje?Mkuu hiyo Mifuko niliwahi muuliza mwenye hiyo bidhaa akasema ameprint China,
Nilichofanya ni nilienda kununua Mifuko plain magomeni sokoni. Nikajilipua kwenye printer yangu (Epson L850) ikakubali Ku print, kama vipi liangalie na hili
mmmmh!!! Ukapigia epson?Mkuu hiyo Mifuko niliwahi muuliza mwenye hiyo bidhaa akasema ameprint China,
Nilichofanya ni nilienda kununua Mifuko plain magomeni sokoni. Nikajilipua kwenye printer yangu (Epson L850) ikakubali Ku print, kama vipi liangalie na hili
Ahsante sana bro. Ubarikiwe sana.Five start printing ltd kama sijakosea wapo dar wana desin na kuprint ujazo,aina unavyotaka, au unaweza kwenda na desin yako wenyewe waka kuprintia.. Jaribu ku google nathan utawapata, In fact niliona tangazo lao kwenye gazeti la mwananch kama miezi 6 iliyopita
Mifuko yako ilikuwa ni ile ya karatasi bila shaka.. ama, mana nilikuwa nazungumzia ile ya plasticMkuu hiyo Mifuko niliwahi muuliza mwenye hiyo bidhaa akasema ameprint China,
Nilichofanya ni nilienda kununua Mifuko plain magomeni sokoni. Nikajilipua kwenye printer yangu (Epson L850) ikakubali Ku print, kama vipi liangalie na hili
Hiyo hiyo. Ni karatasi flan hivi, sio karatasi kabisa kwa mbali material yake yanafanana na stickerMifuko yako ilikuwa ni ile ya karatasi bila shaka.. ama, mana nilikuwa nazungumzia ile ya plastic