Fafanua hilo deni lime accumulate je?Hawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba. Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni. Watu wanaendelea.ku-enjoy kama hakuna kioichotokea. Kikotoo ndo hicho.
Hawa niHawa jamaa wanaamua tu wawekeze wapi ambapo Ni rahisi Kula usawa wa kamba.
Ona Sasa Blue Pearl Hotel - Ubungo Chali na deni mabilioni (8.89b TZS).
Watu wanaendelea ku-enjoy kama hakuna kilichotokea. Kikotoo ndo hicho.
NB: Mjini mipango, deni la Watanganyika
View attachment 2974732
Hawa jamaa wapumbavu sana.Hawa ni