Mifuko ya plastic ngum inauzwa

Filaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
695
Reaction score
1,960
Habari za muda wana jamii. Mifuko mbalimbali yakufungashia bidhaa mbalimbali inapatikana, pia mifuko inayotumika kwenye vituo vya afya (Disposing bags) pia inapatikana. Kama utahitaji nijulishe nitakutafuta



 
Mifuko ipo ya rangi tofauti tofauti
 
Mifuko inauzwa kwa kilo au carton, Bei inategemea na aina ya mfuko au size. Karibuni



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…