Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
January Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake.
Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?