Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Ukishakubaki kucheka na MCHINA(eti ni muwekezaji) hayo ndio matatizo yake.Wekezaji linaiba maji/umeme?hahaaaJanuary Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake.
Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?
Jafo hawezi kwanza hiyo wizara aiwezi watu wamlalamikia kuhusu makelele ya miziki kwenye mabaa na makanisa kashindwa hawezi anachukua chake mapemaJanuary Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake.
Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?
Hilo nalo neno.Wanashindwa kuzuia vitu vya maana wanazuia mifuko wakati kila siku madocta wanatoa mimba tu watoto wadogo, zuieni vya msingi