Mifuko ya Plastiki (Rambo) imerudi?

Mifuko ya Plastiki (Rambo) imerudi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.

IMG_20220927_171914_7.jpg
 
Mwanaume unakaa bar alafu unakuwa mbeya aisee. Hizo story na muuza karanga mungemalizana huko kisha umuache naye ajitafutie kwa ajili ya family yake.
 
Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.

View attachment 2369826
Yaaani hii serikali inavuruga mafanikio yote ya hayati JPM, seriakali imejaa rushwa tupu, hapo ni rushwa kubwa sana imetolewa.

Back
Top Bottom