ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
DuhUna mkono wa kirembo sana unaweza hata kuua mbu kweli??
Dah unachunguza sanaUna mkono wa kirembo sana unaweza hata kuua mbu kweli?
Una mkono wa kirembo sana unaweza hata kuua mbu kweli?
Wanaume wa Dar wazuri sanaUna mkono wa kirembo sana unaweza hata kuua mbu kweli?
Yaaani hii serikali inavuruga mafanikio yote ya hayati JPM, seriakali imejaa rushwa tupu, hapo ni rushwa kubwa sana imetolewa.Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.
View attachment 2369826