IKB
Member
- Dec 21, 2016
- 75
- 29
R.I.P Rambo, Tulikupenda Ila Maguful Ndo Alikupenda Zaid, Rambo Umenisaidia Sana Nilikua Naweka Sim Yangu Wakat Wa Mvua, Nikienda Sokon Niliwek Zaga Zang, Na Chips Nilibebea Kwako, Bila Kusahau Safalin Ulinisaidia Kutapikia, Na Wewe Ndo Umechangia Kwakiasi Kikubwa Mim Kujua Kusoma Madaftar Nilikubebea, Na Ulikua Huna Matabaka Ulimpenda Kila Mtu Masikin Na Matajil Walikutumia, Pumzika Kwa Aman Rambo.
Siamini kama anakuja anaweza tusaidia maana nguvu hana
[emoji847]
Siamini kama anakuja anaweza tusaidia maana nguvu hana
[emoji847]