Mifuko ya "Rambo"

Ndugu Rambo ana taarifa tayari,ametoa tamko kuwa atakata rufaa.Aidha amewasiliana na wakala wake waweze kuwasiliana na wakili msomi shangazi fatuma kwani umahiri wake umemkosha na wanatazamia kuwawakilisha upilatoni muda ukifika na pilato kupangwa tuwe na subira wakati shangazi anafanya makeke kuturudishia mpendwa wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…