Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Hivi ikisomeka kwamba Fedha za Mfuko wa Jimbo zanunua Saruji mifuko 600 Kiteto kutakuwa kuna shida?
Hakuna Mbunge atakayetumia fedha zake za Mfukoni kufanya shughuli za Maendeleo Jimboni mwake.
Hivyo fedha za Mfuko wa Jimbo ndizo hutumika kufanya shughuli hizo iwe kununua Jezi za timu jimboni mwake, kusaidia vikundi vya akina Mama n.k
Ni ujinga utasema ametumia hela zake za mfukoni kununua kumbe ni hela zetu wapiga kura kupitia mfuko wa jimboSijui kwanini siku hizi Watu wamechagua upotoshaji kuwa ndiyo taarifa rasmi? Huwa inanikera sana hii kitu, na naona inazidi kukua siku hadi siku.
Ova
Mwambiee wana kiteto wanashida ya barabara yenye kiwango cha LAMI kuanzia NAKO mpaka KIBAYA.Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoa wa Manyara Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko ya Saruji 600 kwaajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ndani ya Kiteto.
[emoji736] Kata ya Kiperesa amekabidhi Mifuko ya Saruji 35
[emoji736] Mifuko ya Saruji 50 Shule ya Msingi Makuta
[emoji736] Kata ya Njoro amekabidhi Mifuko ya Saruji 35 kwaajili ya Shule ya Msingi Ndaleta
[emoji736] Mifuko ya Saruji 20 Shule ya Sekondari Eco
[emoji736] Mifuko ya Saruji 10 Kituo cha Polisi Kibaya
[emoji736] Mifuko ya Saruji 35 Shule ya Msingi Olpopong.
View attachment 2753255View attachment 2753256View attachment 2753257View attachment 2753258View attachment 2753259View attachment 2753260View attachment 2753261