George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Iliyotumika au mipya, yote sawa. Baada ya kujua gharama nitafanya uchaguzi sahihi.Unahitaji iliyotumika ama mipya?
Hii imewekewa gypsum, si itakuwa na vumbi sana mkongwe!?Aina hii itakufaa?View attachment 2932710View attachment 2932711
Ndo niliyo nayo hiiHii imewekewa gypsum, si itakuwa na vumbi sana mkongwe!?
Hiyo haitonifaa kiongozi, asante!Ndo niliyo nayo hii
Unayo mingapi?Mimi ninayo iloisha Mbolea
Mifuko 94 bei maelewana!! Asking bei ni 1000Unayo mingapi?
Unauza bei gani mfuko mmoja?
Nahitaji mifuko 1000. Una mifuko aina gani, bei yako ikoje kwa kila mfuko?Ipo mingi njo tuyajenge
View attachment 2940452
1000 inapatikana ila kuna wakati nakua na myeupe...400/= nauza
View attachment 2940452
1000 inapatikana ila kuna wakati nakua na myeupe...400/= nauza
bado;unahitajii hii mifuko??Habari?
Nahitaji mifuko ya viroba (kilogram 50).
Nipe connection, kama muuzaji yupo nicheki tufanye biashara.
Unayo mkuu ,na mimi naulizia ya 25kg used au rejected kiwandani kama ile ya unga ya azam/azania.
bado;unahitajii hii mifuko??