hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Habari wakuu,
Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate.
Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko iliyopigwa Nembo ya muuzaji ya kuuza Mkate.
Nimejaribu kumuuliza Jamaa yangu yupo Dar es salaam kanambia Kg1 ni sh.7,000/= na unatakiwa kuchukua Kuanzia Kg300. Kwa hesabu ya haraka ni 2,100,000/=.
Mwenye ufahamu wa wapi naweza kupata Mifuko kwa gharama nafuu naomba anijuze.
Maana kwa sisi tunaoambiwa kujiajiri ni ngumu sana kupata 2.1m wakati mtaji wenyewe ni wa kuunga unga.