magabelab
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 371
- 190
Huduma ya Ujumbe Mfupi (SMS) ni sehemu ya huduma ya mawasiliano ya maandishi ya simu, ikitumia itifaki sanifu za mawasiliano zinazoruhusu kubadilishana ujumbe mfupi wa maandishi kati ya laini au vifaa vya simu za rununu.
Matumizi ya SMS kama matumizi ya data ulimwenguni ni kubwa sana, na watumiaji bilioni 2.4, au 74% ya watumiaji wote wa simu za rununu.
Baada ya rearch kubwa niliweza kuunda mfumo wa SMS ambao unaweza kutumika kwa usajili , kutoa habari n.k, salama na thabiti. Ubunifu unaweza kutumika kukuza aina tofauti za matumizi ya biashara na watu maarufu.
Jinsi inavyo fanya kazi
Mtumiaji anatuma sms mfano;- "menyu" kwenda namba fulani, naye atajibiwa na SMS inayoonyesha menyu.
Kama ungependa kuwa na mfumo kama huu kwa ajili ya biashara yako (duka,hotel,lodge n.k), nicheki inbox