Mifumo ya Ulinzi wa Anga Yadaiwa Kuidungua Ndege ya Aburia ya Azerbaijan

Mifumo ya Ulinzi wa Anga Yadaiwa Kuidungua Ndege ya Aburia ya Azerbaijan

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi.

Taarifa zinaeleza kuwa footage ya tukio inaonesha eneo la mkia wa ndege likiwa na tundu kubwa la kupigwa na kombora. Mpaka sasa abiria 38 wamethibitika kupoteza maisha, huku manusura 10 wakiwa kwenye hali mbaya sana. Ndege ilikuwa na abiria 70.

Note: KWA SASA NI HATARI SANA KUSAFIRI KWA KUPITIA ANGA LA NCHI AMBAZO ZIPO VITANI.

The Azerbaijani Airlines plane that crashed on Dec. 25 en route to Russia may have been shot down by a Russian surface-to-air missile, according to reports from independent Russian media outlets.

The aircraft, carrying passengers from Baku, Azerbaijan, to Grozny in Russia's Chechen Republic, crashed near the coastal city of Aktau in Kazakhstan.
Footage of the plane shows traces of a large surface-to-air missile impact on the tail section of the plane, according to Russian independent media outlet Meduza. Similar-looking holes in the fuselage have reportedly been documented in numerous images and videos of military and civilian aircraft downed by surface-to-air missiles.
 
Habari kwa kina :

Ajali ya Azerbaijan E190 | Ilipigwa risasi juu ya Urusi na Crash ikatua Aktau Kazahstan

Rubani mzoefu anachambua ajali iliyosababishwa na silaha za ulinzi wa anga za Russia kuishambulia ndege ya kiraia

View: https://m.youtube.com/watch?v=xQEghJ8UVWk
Ndiyo, ninakisia kwa sasa lakini nina uhakika kuhusu taarifa yangu kuhusu kombora la Kirusi kwa sababu tayari tuna ushahidi.

Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan Embraer ERJ-190, yenye usajili 4K-AZ65 ikifanya safari ya ndege ya J2-8243 kutoka Baku (Azerbaijan) hadi Grozny (Urusi) ikiwa na abiria 62 na wafanyakazi 5, ilikuwa imetoka Grozny hadi Aktau (Kazakhstan) kutokana na hali ya hewa na kujaribu kwa dharura kutua kwenye barabara ya ndege ya Aktau 11 saa 11:28L (06:28Z) takriban saa moja baada ya ombi la dharura la kutua Grozny Russia ilivyokataliwa.

Ndege hiyo ilikuwa imechagua njia nyingine ya dhararu ya mwisho baada ya kukataliwa kutua Grozny nchini Russia, lakini iligonga chini kwenye njia ya kurukia na kushika moto Uwanja wa Ndege wa Aktau nchini Kazakhstan

Huduma za uokoaji ziliweza kuwaokoa watu 32 wakiwa hai. Miili 4 ilipatikana hadi sasa.

Wizara ya Usafiri ya Kazakhstan iliripoti abiria 62 na wafanyakazi 5 walikuwa kwenye ndege hiyo, 32 waliokolewa wakiwa hai. Miili 4 imeopolewa. Shirika la ndege liliripoti kulikuwa na abiria 62 (37 Azerbaijani, 16 Kirusi, 6 Kazakh na 3 Kyrgyz raia) na wafanyakazi 5 ndani ya bodi.

Ndege hiyo ilitua kwa dharura takriban kilomita 3 (1.6nm) kutoka Uwanja wa Ndege wa Aktau. Mawasiliano ya dharura yameanzishwa. Shirika hilo la ndege lilichapisha orodha iliyo na majina ya waliokuwemo.

Ripoti ya Huduma za Afya ya Kazakhstan, manusura 28 walipelekwa hospitalini, 7 kati yao wako katika uangalizi mkubwa. Kwa sababu ya msongamano wa GPS na upotoshaji katika eneo hilo data iliyopo ya rada haielezi njia ya kweli ya ndege na haiwezi kutumika kuchambua matatizo yaliyoikumba ndege hiyo ..
 
25 Desember 2024
Tukio la kusikitisha limetokea mapema asubuhi hii ya Krismasi wakati Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan 4K-AZ65, Embraer E190, ilipoanguka karibu na Uwanja wa Ndege wa Aktau nchini Kazakhstan. Ndege hiyo iliyopangwa kutoka Baku, Azerbaijan, hadi Grozny, Urusi, ilielekezwa Aktau kutokana na hali mbaya ya hewa au masuala

View: https://m.youtube.com/watch?v=2Ed5ZUi3T_A
 
Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi.

Taarifa zinaeleza kuwa footage ya tukio inaonesha eneo la mkia wa ndege likiwa na tundu kubwa la kupigwa na kombora. Mpaka sasa abiria 38 wamethibitika kupoteza maisha, huku manusura 10 wakiwa kwenye hali mbaya sana. Ndege ilikuwa na abiria 70.

Note: KWA SASA NI HATARI SANA KUSAFIRI KWA KUPITIA ANGA LA NCHI AMBAZO ZIPO VITANI.

The Azerbaijani Airlines plane that crashed on Dec. 25 en route to Russia may have been shot down by a Russian surface-to-air missile, according to reports from independent Russian media outlets.

The aircraft, carrying passengers from Baku, Azerbaijan, to Grozny in Russia's Chechen Republic, crashed near the coastal city of Aktau in Kazakhstan.
Footage of the plane shows traces of a large surface-to-air missile impact on the tail section of the plane, according to Russian independent media outlet Meduza. Similar-looking holes in the fuselage have reportedly been documented in numerous images and videos of military and civilian aircraft downed by surface-to-air missiles.
Urusi fala sana na mwoga saana. Ndege ya 2 hii anatungua abiria
 
17 July 2014 alipiga Flight MH17 ya Malaysia ikiruka kutoka Amsterdam to Kuala Lumpur akaua abiria wote 283. Bado hakomi!
kumbe hii nimeikumbuka mkuu, nakumbuka kuna chambuzi akawa anaponda kua marekani ilikasirishwa sana na tukio hili na kuikemea sana russia. lakini ilishindwa kufanya hivyo israeli alivodungua ndege ya libya kwenye same scenario. kwahiyo kama hii ni kweli ubao kwa sasa 2-1
 
Inasikitisha sana kwa wasio na hatia kuuliwa kizembe namna hii. Huna hili wala lile uko zako safarini unapelekwa kuzimu na vichaa fulani walioshindwa kudhibiti madude yao ipasavyo.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Machumachuma ya kirusi ovyo sana. Yakizinduka ghafla toka usingizini yanarusharusha missiles ovyo! Ona sasa wasio na hatia wamepoteza maisha kijinga.
Una hakika? Au unasikikiza upuuzi wa west tuu?
 
Putin amesababisha upuuzi mwingi sana pande hizo
 
Hiyo ndege ilikuwa ikielekea Grozny - Chechnya sio Russia.

Hiyo ndege ilikuwa Iko chini sana, low altitude, maana ingekuwaa mbali na kupigwa na kombora asingepona mtu humo, na kama ilikuwa low altitude maana yake bado ilikuwa anga la Azerbaijan.
Tulitegemea Azerbaijan alalamike kwa Russia kurusha kombora kwenye anga lake Azerbaijan.
 
Itakuwa ni Russia wameitungua hiyo ndege.

Ngoja nirudi X nitafute chanzo kilichosena ni Russia
 
Back
Top Bottom