Mifupa ya dagaa kusababisha vidonda vya tumbo

kalcha

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
79
Reaction score
12
Nimeisikia hii kutoka kwa dokta mmoja wa mwanza (huenda msukuma) kwenye kipindi cha startv saa 4 usiku tar 11/02/2013, nijuzeni kama ni kweli ati mifupa ya dagaa inachomachoma kwenye utumbo na kusababisha vidonda vya tumbo! :israel:
 
Dagaa ana mifupa ana miba? Na kama miba angeanza na ya samaki kwanza na si dagaa.

Kwa kifupi kiti chochote kigumu au kinachochomachoma ni tatizo kwa mwenye vidonda. Sijui kwa nini dkt amemchagua dagaa ambaye miiba yake si migumu na husagika kirahisi kwenye meno. Labda itakua tatizo kwa watu wanaomeza dagaa wazima wazima kama wapo.

Inawezekama wapo maana wasukuma hawashindwi kitu
 
haha kama yy mwenyewe anameza.....
 
hahaa mkuu umeniacha hoi aissee kumeza dagaa wazima wazima??
 
Back
Top Bottom