Migahawa ya kigeni Dodoma

Migahawa ya kigeni Dodoma

Mausingizii

Member
Joined
Jul 14, 2022
Posts
90
Reaction score
74
Hellow , marry Christmas to you all,
Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA ,

Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
 
Unataka ukawinde wazungu 🤣🤣🤣
 
Hellow , marry Christmas to you all,
Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA ,

Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
Chifu Asili Nyerere square, Dodoma hotel, Mwanga bar minyama choma na makange.
 
Dodoma bw Mwanga bar Bora ungemuambie aende chako ni chako
 
najua mda umeshapita, ila next time jaribu kuna mgahawa upo top floor ya Best Western City Hotel pale otherwise nenda kwenye hotels, binafsi naiaminia/ recommend zaidi legendary hotel, Dodoma Hotel
 
Mmmmmm basi sawawaaa....anatqka wqthungu kumbeee
 
Back
Top Bottom