Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Unataka ukawinde wazungu 🤣🤣🤣Hellow , marry Christmas to you all,
Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA ,
Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
Chifu Asili Nyerere square, Dodoma hotel, Mwanga bar minyama choma na makange.Hellow , marry Christmas to you all,
Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA ,
Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .
Si ndiyo nshawachoka wabongo 😂 ,Unataka ukawinde wazungu 🤣🤣🤣
Dooh hii mbn wabongo ndo wamejaa humo 😂Chifu Asili Nyerere square, Dodoma hotel, Mwanga bar minyama choma na makange.
Mmmmmm basi sawawaaa....anatqka wqthungu kumbeeenajua mda umeshapita, ila next time jaribu kuna mgahawa upo top floor ya Best Western City Hotel pale otherwise nenda kwenye hotels, binafsi naiaminia/ recommend zaidi legendary hotel, Dodoma Hotel
Chifu Asili Nyerere square, Dodoma hotel, Mwanga bar minyama choma na makange.
Ukiwa Dodoma town mwambie Afisa usafirishaji nipeleke Mwanga bar hilo ni eneo la nyama choma na makange wamejaa hapo wauzaji.Minyama choma IPO wapi na Usiku wanafunga saa ngapi?