Migodi mipya yote wanapewa waarabu, wachina na wazungu. Mwafrika ambae ni rasimali zake akiomba hapewi

Migodi mipya yote wanapewa waarabu, wachina na wazungu. Mwafrika ambae ni rasimali zake akiomba hapewi

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,816
Hivi viongozi wa Afrika mna akili au matope ya kupenda sifa,

Hao mnaowaita wawekezaji nyie wenyewe ndo mmewapa utajiri, ila kuwapa waafrika wenzenu mnaona uvivu, hivi hizi akili mnazitoa wapi, halafu miaka ya mbele mkifa mnawaacha watoto wa vizazi vyenu na majirani yenu yani waafrika wenzenu Masikini.

Sasa sijui mnapenda sifa kwa kipi, matajiri wapo wengi, wengine mnaweza kuwatengeneza na mkiwatengeneza wataanzisha vitega uchumi humuhumu ambayo itawasaidia zaidi na zaidi, ila mnaona bora muwapende wazungu zaidi
 
Nani aliomba akakataliwa? Hao mabilionea wazawa wanaotangazwa kuuza mabilioni ya Madini ni Wazungu wa rangi gani?
 
Back
Top Bottom