Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Watu wanaenda kupiga helaHuo mgogoro wameshatumia miaka kibao kufanya vikao visivyoisha. Ni ujinga mtupu
Hujui mambo ya Geopolitics wewe. Unafikiri maisha ni kula ugali na kulala tu? Ni pamoja na kuhakikisha majirani zako unaoshirikiana nao kiuchumi wanakuwa salama.Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. Hakika, Kufa kufaana.
**Gharama za usafiri, malazi, chakula na protocol za Wakuu na mawaziri (Foreign affairs na defence) nchi zote za SADC (16) na EAC nani anazibeba?
Geopolitics hamuwezi kujadili kwa mtandao yakajadilika? Au mpaka mlipane posho?Hujui mambo ya Geopolitics wewe. Unafikiri maisha ni kula ugali na kulala tu? Ni pamoja na kuhakikisha majirani zako unaoshirikiana nao kiuchumi wanakuwa salama.
Sisi wataalamu wa masuala ya mawasiliano, tunajua kuna cha ziada mnapokutana ana kwa ana.Geopolitics hamuwezi kujadili kwa mtandao yakajadilika? Au mpaka mlipane posho?
Pesa zipo kwa ajili ya kuzunguka na kutumika. Kuna ndugu wapo sa hivi wanalipwa per diems nyumba zinaboreshwa!Mapigano Goma, Congo vikao kwenye majiji mengine barani mara Harare na sasa Dar es Salaam ambako viongozi toka SADC na EAC (joint summit) watakutana physically Dar kujadili mgogoro ule ule waliojadili Harare wiki iliyopita. Hakika, Kufa kufaana.
**Gharama za usafiri, malazi, chakula na protocol za Wakuu na mawaziri (Foreign affairs na defence) nchi zote za SADC (16) na EAC nani anazibeba?
SafiiPesa zipo kwa ajili ya kuzunguka na kutumika. Kuna ndugu wapo sa hivi wanalipwa per diems nyumba zinaboreshwa!
Wawe wanakuja na maazimio thabiti wanapokutana sasa siyo kulaani tu halafu mnapanga kukuta kwingine.Mkuu umesahau uwo mgogoro unatukosesha mapato ya nchi?
Umesimamisha shughuli za Usafilishaji wa Madini na vitu vingine,kuna Madereva kwa sasa Hawana kazi sababu ya hiyo vita.
Sisi Tanzania pia ni waathirika wa hii vita hasa kiuchumi