Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,633
- 2,297
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka!
Toka makamishna wastaafu mwezi January 2018, mpaka sasa hawajateuliwa tena na mheshimiwa mkuu wa nchi!
Kwa hali ya sasa ilivyo, kuna kesi nyingi sana za migogoro ya kazi zimerundikana pale time ya utumishi! Ina maana kama makamishna hamna hakuna justification ya kazi wanazofanya! Kuna haja gani ya kufanya kazi mnarundika?
Kama mheshimiwa kagoma kuteua, si hii tume ifutwe iende ofisi ya utumishi wa umma, kama ilivyokuwa tume ya mipango ilivyopelekwa hazina!
Nawasilisha.