Habari za kuaminika ni kwamba migomo bado yaendelea UDOM. Jana Ijumaa asubuhi wanafunzi wa School of Medicine and Nursing waliandaama hadi bungeni kwenda kumwona waziri wa Elimu. Madai yao ni mengi lkn ni pamoja na kufundishwa bila practicals, yaani wanafundishwa kama secondary za kata. Jiandaeni kwa baadaye kuja kutibiwa na half-cooked doctors and nurses.
Jana asubuhi inasemekana walionana na waziri na jioni kulikuwa na kikao kizito kilichohusisha Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu, uongozi wote wa juu wa UDOM na uongozi wa wanafunzi. Sijui kilichojadiliwa.
Wenye details watujuze tafadhali. Nawakilisha.