hivi hii migomo siku hizi hadi shule za sekondari, na nahisi hadi za msingi zitafuata, maana yake serikali imechoka kusikiriza wananchi wake au haki haipatikani mpaka kugoma? Mbona zamani haikuwa mingi hivi, maana nowadays kila kukicha migomo i wonder where we are going.