Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 172
- 57
We anzia facebook kwanza sio kujankucheza na sharubu za wazee wako huku
hivi unataka kufananisha chuo chako cha kata UDOM na chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia(UDSM),sisi wenzenu tulishasign tayari mzigo wa pili,serikali wenyewe wanajua kuwa tusipopewa muda muafaka tunaandamanaHahari za kuaminika kutoka vyuo tajwa hapo juu,vijana wamechoshwa na ukata unaowakumba toka wameanza mwaka mpya wa masomo,vjana hawa wamekuwa wakitaka kujua hyo loanboard maana yake nn kwani hawaoni tofauti yakuwa na access na mkopo na acyekuwa nayo,vjana hawa kwa muda tofauti wameckika wakisema hawataweza kufanya test zlzopagwa na kugomea kwenda darasani mpaka wapewe hela zao za accomodation na field.Hlo ntafana maana wale wa UDSM wana tofauti gani mpaka wapewe hela kwa wakati hku UDOM wakicheleweshewa?
hivi unataka kufananisha chuo chako cha kata UDOM na chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia(UDSM),sisi wenzenu tulishasign tayari mzigo wa pili,serikali wenyewe wanajua kuwa tusipopewa muda muafaka tunaandamana
nipo kitambo sana hapa jijini dsm,km unaona elimu ya bongo ni mbovu hii si kwa sababu nyinyi vijana wa siku hizi mnapenda sana facebook,bbbm,twitter afu kwenye paper mnachora mazombi,je iko kwanani???We ni kilaza toka lini elimu bora ikapatikana Bongo???
Ndo umeingia mjini juzi ama