Migomo ya wanafunzi mkoa wa Pwani

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Wanafunzi mkoa wa pwani,rufiji wanagomea menejimenti za shule zao wakizitaka ziachie madaraka.Migomo hyo inafanywa pamoja na wazazi wa watoto hao.Serikali,hebu komesheni tabia hii haraka.Waelimisheni hawa wanarufiji umuhimu waelimu,sababu pindi sisi wageni tukiondoka alafu tukawaacha wenyewe hali itakuaje.BADILIKENI.
 
Hizo menejimenti zimefanya nini?ngumu kuchangia maana habari haijakamilika!!!
 
Mbona mtoa mada unatoa hukumu mwenyewe! Badala ya kutoa habari kamili unaleta stori, sasa unataka, hasa sisi wa mbali tusiojua chanzo tuchangie nini? Je kama uongozi unawaibia wazazi na wanafunzi, wao wakae kama mazezeta??? GIZA LINATOWEKA TANZANIA!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…